Meek Mill Adai Alikuwa Anapata Asilimia 13 tu kwenye Muziki Wake kwa miaka 13

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

6 hours ago
rickmedia: meek-mill-adai-alikuwa-anapata-asilimia-kwenye-muziki-wake-kwa-miaka-352-rickmedia

 Rapa #MeekMill Amesema kwenye Kipindi cha Miaka 13 Alikuwa anapata Asilimia 13 pekee kwenye Muziki wake lakini kwa sasa Anamiliki Kila kitu chake.

2012 Rapa #MeekMill alisainiwa kwenye Lebo ya Founded Dream Chasers chini ya MMG Baada ya hapo kuanzia 2019 Alitoka na kusainiwa na Dream Chasers + Roc Nation JV mpaka 2022 Julai ambapo alianza kufanya kazi zake kama Msanii huru.