Diamond na Harmonize Wamerudisha Mashindano Yao kwenye Music,Watoa ngoma Siku moja

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

5 hours ago
rickmedia: diamond-harmonize-wamerudisha-mashindano-yao-kwenye-musicwatoa-ngoma-siku-moja-132-rickmedia

Mastaa #DiamondPlatnumz na #Harmonize weamua kurudi kwenye Mashindano ya Muziki, Private Jet zimekaa pembeni kwanza!

Wote wameachia Ngoma Muda mmoja, #Diamond Kaachia wimbo wa Amapiano Unaitwa #DOWN akiwa na #MMANRSA #LINTONTO #MASTERPIECEYVK.

#Harmonize Yeye Ameachia Ngoma yake ya #BESTCOUPLE Akiwa na Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria #RUDEBOY.