Mkuu mpya wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya (EU) ...
Shambulio hilo lilitokea Jumapili wakati timu hiyo ikirejea nyumbani baada ya mchezo dhidi ya Samartex uliochezwa mjini Samreboi, Kusin ...
Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana, uchunguzi bado unaendelea.
Hadi sasa, tarehe na miji ya ziara hiyo bado hazijatangazwa,
Taarifa za ndani zinaeleza kuwa mkataba wa Sowah na Simba umevunjika baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya kuachana
Mhandisi Hersi atakuwa balozi wa tatu wa BAKITA, ambapo wengine ni Mbunge wa Mchinga, Salma Kikwete na Joram Nkumbi.
Kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation, upande wa mashtaka uliieleza mahakama kuwa Aprili 7, 2026.
Cisse, beki wa zamani wa kimataifa ambaye alikuwa nahodha wa Lions of Teranga ya Senegal hadi robo fainali ya Kombe la Dunia la 2002
Uchunguzi umebaini fedha zilitolewa kupitia malipo ya huduma na bidhaa kwa kutumia kadi 1,551 za wateja wa mataifa 11
Baada ya mgogoro na Upendo Nkone na watu kumuandama mtandaoni basi ameamua kujiengua
Pipy Jojo anakuwa msanii wa pili kutangazwa kwenye lebo, ni baada ya Yammi 2023-2025