Álvaro Arbeloa aanza kazi yake kwa kipigo pale Real Madrid

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

2 hours ago
rickmedia: alvaro-arbeloa-aanza-kazi-yake-kwa-kipigo-pale-real-madrid-883-rickmedia

Kocha wa klabu ya Real Madrid Álvaro Arbeloa ameanza rasmi kazi yake ya kuinoa klabu hiyo.

Akichukua nafasi ya Xabi Alonso baada ya msimu mgumu ambao Madrid ilipoteza Kombe la Supercopa dhidi ya Barcelona.

Katika mchezo wake wa kwanza kama kocha mkuu, Real Madrid ilipoteza kwa kipigo cha 3–2 dhidi ya Albacete.

Timu ya daraja la pili (Segunda División) katika Copa del Rey (Kombe la Mfalme) na kusababisha kutolewa kwao kwenye michuano hiyo.

Je, Álvaro Arbeloa anapaswa kupewa muda wa kujenga Real Madrid licha ya kuanza kwa kipigo, au klabu inahitaji kocha mwenye uzoefu zaidi?