Iran yaishutumu Marekani kutaka kuingiliaKijeshi

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

4 hours ago
rickmedia: iran-yaishutumu-marekani-kutaka-kuingiliakijeshi-449-rickmedia

Serikali ya Iran imeishtumu Marekani kwa kujaribu kutengeneza kisingizio cha kuingilia kati kijeshi, kufuatia kauli ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kutishia hatua kali kuhusu ukandamizaji wa maandamano makubwa nchini Iran.

Kupitia ujumbe wake katika Umoja wa Mataifa, Iran imesema sera za Marekani zinaegemea mabadiliko ya utawala, zikidai kuwa vikwazo, vitisho na machafuko vinatumika kama njia ya kuhalalisha kuingilia kijeshi.