Kanisa Katoliki Wapiga Marufuku Serikali kutoa Hotuba Kanisani

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

3 hours ago
rickmedia: kanisa-katoliki-wapiga-marufuku-serikali-kutoa-hotuba-kanisani-989-rickmedia

Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC )limefanya limeboresha Liturujia katika baadhi ya vipengele, ikiwemo kipengele cha matangazo ambapo awali viongozi na wageni mbalimbali kutoka Serikalini waliohudhuria misa waliruhusiwa kutoa neno (Hotuba) mbele ya kanisa ambapo kwa sasa hautokuwa hivyo.

Mabadiliko hayo yametoa katazo kwa kipengele hicho na kuanzia sasa wageni waliofika kanisani ikiwemo viongozi wa kiserikali hawatoruhusiwa kuzungumza ndani ya Kanisa Katoliki.