Darassa Afiwa na Mama Yake Mzazi

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

5 hours ago
rickmedia: darassa-afiwa-mama-yake-mzazi-802-rickmedia

Msanii wa Muziki wa Rap #Darassa Ametangaza Kifo cha Mama yake Mzazi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ameandika…

“CMG inasikitika kutangaza kifo cha Mama mzazi wa artist Darassa CMG. Taarifa Muhimu!!!

Mazishi ya mwili wa marehemu yatafanyika nyumbani kwao Itigi na sio Kiwalani. Kwa ndugu, jamaa rafiki, au jirani ambae angependa kushiriki na sisi safari ya

kwenda Itigi kumpumzisha Mama yetu mpendwa kwenye nyumba yake ya milele. Safari i ya kuelekea Itigi ita anza leo saa 11:00 asubuhi.”