Wimbo mpya wa Staa wa Muziki #Alikiba #UBUYU umeshushwa kwenye Youtube Channel yake kwa Malalamiko ya Haki Miliki kutoka kwa Msanii wa Congo #SapooguanoOdenumz akidai wimbo huo umefanana na wimbo wake akiwa na #Aslay #NISHAKUPENDA.
Hii sio mara ya kwanza Msanii huyo kuripoti Wasanii wa Tanzania kwenye mtandao wa Youtube, Septemba,2023 Aliwahi kuripoti Wimbo wa #Jux na #Diamond #ENJOY na kushushwa kwa muda.
https://youtu.be/aGnbDoHXTEU?si=UEiVv7ZrMno9Mu8w