Trap Queen ya Rapa Fetty Wap yaweka rekodi sikilizwa sana Spotify

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

21 hours ago
rickmedia: trap-queen-rapa-fetty-wap-yaweka-rekodi-sikilizwa-sana-spotify-100-rickmedia

Wimbo Wa Rapa Wa Marekani Fetty Wap 'Trap Queen' Umeweka rekodi mpya Ya usikilizaji wake katika mtandao wa Spotify, kwa kufanikiwa kupata zaidi ya streams milioni 1.4 kwa siku moja tu.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba hili limetokea baada ya miaka 12 tangu wimbo huo kutolewa. Kutokana na ongezeko hilo, wimbo huo umefikia viwango (peaks) vipya kwenye chati za Spotify za Global (dunia nzima) na Marekani (US).

Hii Yote Ni Baada Ya Rapa Huyo Kuachiwa Huru Kutoka Jela Hivi Karibuni Kwa Kesi Yake Ya Dawa Za Kulevya.