Msemaji wa staa wa muziki ‘Justine Bieber’ amekana madai ya taarifa za mteja wake kuhusishwa na tuhuma za matukio ya #Diddy ikiwemo ulanguzi wa ngono na unyanyasaji wa ngono.
Msemaji wa #JustineBieber anasema “Justin sio miongoni mwa waathiriwa wa Sean Combs ‘Diddy’ kuna watu ni kweli waliumizwa nae na kuhamisha mielekeo yao na wanastahili haki yao”.
Ukaribu wa zamani wa #Diddy na #JustineBieber umezua gumzo mitandaoni baada ya video zao na picha zikiwaonyesha wakiwa karibu studio, kwenye party na sehemu zingine.See translation