Kwakuthamini mashabiki zake @diamondplatnumz ameupiga wimbo wake mpya ambao bado haujatoka rasmi "Holiday" akiwa #WavuviKempu aki vibe na marafiki pamoja na watu mbalimbali waliohudhuria kwenye Party ya HeloJua asubuhi ya leo
Kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kabisa kutoka #WCB wimbo huu unaweza kuachiwa muda wowote kuanzia sasa ukizingatia tunaingia msimu wa sikukuu na mwaka mpya