Kampuni ya Apple imetambulisha rasmi simu zake mpya iPhone17 zikiwa kwenye matoleo mbalimbali kama 17pro Max, 17pro,iPhone 17 Air. Kwa Bei ya iPhone 17 Pro Max inaanzia Shilingi Milioni 6.7 za Kitanzania
Simu hizi zitaanza kupatikana rasmi sokoni kuanzia September 19,2025.