Mrembo kutoka Kenya Vera Sidika anazidi kujifanyia marekebisho ya mwili wake. Baada ya kufanya Surgery ya Makalio kwa sasa Vera amehamia kwenye marekebisho ya uso wake.
Kupitia Instastory yake Vera amepost Video akiwa Hospitali na kuweka wazi kuwa anakuja na sura mpya baada ya kufanya Surgery Jijini Manchester nchini Uingereza