Rapa Baddy Bunny anakabiliwa na kesi ya ya Bilioni 40

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 day ago
rickmedia: rapa-baddy-bunny-anakabiliwa-kesi-bilioni-917-rickmedia

Msanii Bad Bunny anakabiliwa na kesi ya dola milioni 16 huko Puerto Rico, akishtakiwa kutumia sauti ya mwanamke bila idhini katika nyimbo zake “Solo de Mi” (2018) na “EoO” (2025).

Mlalamikaji, Tainaly Y. Serrano Rivera, anadai sauti hiyo ilirekodiwa bila mkataba na imekuwa sehemu ya chapa ya Bad Bunny kupitia matamasha na bidhaa.

Kesi hiyo inahusisha pia Rimas Entertainment, na pande zote zinatarajiwa kufika mahakamani Mwezi Mei.