Marekani yaishambulia Iran kwa kuua raia 3 katika Kisiwa cha Qeshm

-rickmedia: Saraphina Jerry

Saraphina Jerry

1 hour ago
rickmedia: marekani-yaishambulia-iran-kwa-kuua-raia-katika-kisiwa-cha-qeshm-460-rickmedia

Shirika la habari la Iran, Fars News Agency, limeripoti kuwa watu watatu wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa katika mashambulizi ya Marekani yaliyofanyika asubuhi ya leo katika Kisiwa cha Qeshm.

Kulingana na maafisa wa afya, mama, baba na mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili waliuawa katika shambulio lililolenga nyumba yao katika eneo la Chahtangu, mjini.

watoto wengine wawili waliokuwa ndani ya nyumba hiyo walijeruhiwa na wamepelekwa hospitalini kupokea matibabu.