SuperStar Justin Bieber Alipokea Kiasi Cha Dollar Million 1 za Kimarekani Kwa Ajili ya Show yake aliyoifanya kwenye Fainali za Kombe la Dunia 2026. Fainali ilichezwa kwenye Uwanja wa Met-Life uliopo Jiji la New York, Marekani.
Justin Bieber alifanya Show yake Kwa Jumla ya dakika 2 na Sekunde 41 ikifikisha Jumla ya Dakika 3 Mpaka Kutoka Uwanjani.
Bieber Ameingia kwenye Historia Baada ya Kuwa Msanii wa Kwanza (BIG NAME)Kufanya Show ya Halftime kwenye Fainali za Kombe la Dunia huku akisindikizwa na Wasanii Kama BurnaBoy,Shakira nk.