Msanii kutoka lebo ya WCB na mke wa Diamond Platnumz 'Zuchu' amepost picha za ujauzito wake kwa mara ya kwanza tangu tetesi za hali yake kuwa hivyo zianze kusambaa mtandaoni.
Kwa muda mrefu kulikuwa na tetesi za Zuchu kuwa mjamzito lakini wao (Yeye na mume wake Diamond Platnumz) hawakuwa tayari kuweka wazi taarifa hiyo njema ya baraka ya ndoa yao.
Hongera sana kwa Zuchu na mume wake Diamond Platnumz kwa baraka hii ya ndoa yao.