Mwanamitandao ya Kijamii Malaika Cute ambaye aliwahi kuwa mke wa Mtangazaji wa Wasafi Fm Ricardo Momo amefunguka juu ya tetesi za kuwa kwenye mahusiano na mwanamuziki Harmonize
Malaika amefunguka A-Z wakati akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kutoa misaada ya vyakula pamoja na vitu mbalimbali kwa watoto wa kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji Ijango Zaidia kilichopo Sinza Madukani Jijini Dar es Salaam
>>>>>>>>>>>>>>>Bonyeza Hapa Chini kutazama Full Video>>>>>>>>>>>>>>>>>