Dkt Samia na Nchimbi Wachukuwa Fomu za Ugombea

-rickmedia: Lanka Ting

Lanka Ting

11 hours ago
rickmedia: dkt-samia-nchimbi-wachukuwa-fomu-ugombea-932-rickmedia

Rais wa Tanzania na Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na mgombea mwenza wake, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, wamekabidhiwa fomu za ugombea na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, leo 9 Agosti 2025, katika ofisi za INEC, Dodoma.

Mbalina hivyo Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi, walipokuwa wakielekea kuchukua fomu za urais katika ofisi za INEC, walikabidhiwa Shilingi 250,000 na wananchi waliowasubiri barabarani kusaidia gharama za fomu.